{"product_id":"msichana-anayeweza-9781088021514","title":"Msichana Anayeweza","description":"\u003cp\u003e • Author(s): Martha Lumatete\u003cbr\u003e • Publisher: Martha Lumatete\u003cbr\u003e • Publisher Imprint: Martha Lumatete\u003cbr\u003e • BISAC: Social Topics - Self-Esteem \u0026amp; Self-Reliance\u003c\/p\u003e\u003cp\u003e\u003c\/p\u003e\u003cp\u003eMartha ni muoga. Anahitaji kuzoeana na marafiki zake darasani, lakini hiyo sivyo namna alivyo. Anataka kuwa shujaa, na mwenye ujasiri lakini hafahamu nini cha kufanya. Baada ya ajali ya kuaibisha, Martha anapitia safari ya kuvutia, kwa msaada wa wazazi wake, waalimu na familia, Martha anajifunza umuhimu wa kujieleza mwenyewe na kwanini ni muhimu kufanya hivyo.\u003c\/p\u003e\u003cp\u003e \u003c\/p\u003e\u003cp\u003eHiki ni kitabu kizuri cha kuchorwa kinafungua ulimwengu kwa watoto kutafuta kinachowasukuma ndani mwao, huku wakijifunza somo kuu la maisha njiani.\u003c\/p\u003e","brand":"Martha Lumatete","offers":[{"title":"Paperback","offer_id":45115755298967,"sku":"9781088021514","price":1091.0,"currency_code":"INR","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0666\/3471\/1191\/files\/9781088021514.webp?v=1767618529","url":"https:\/\/atlanticbooks.com\/products\/msichana-anayeweza-9781088021514","provider":"Atlantic Books","version":"1.0","type":"link"}