{"product_id":"salamu-kutoka-kuzimu-9789966469298","title":"Salamu Kutoka Kuzimu","description":"\u003cp\u003e • Author(s): Ben Mtobwa\u003cbr\u003e • Publisher: East African Educational Publishers\u003cbr\u003e • Publisher Imprint: East African Educational Publishers\u003cbr\u003e • BISAC: Crime\u003c\/p\u003e\u003cp\u003e\u003c\/p\u003e\u003cp\u003eKifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha ... Akikusalimu umekwisha ... Hana mdhaha ...\u003c\/p\u003e\u003cp\u003eLakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja... \"Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti,\" anasema akichekelea. \"Sijawahi kushindwa ...\" Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta kombaro machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.\u003c\/p\u003e","brand":"East African Educational Publishers","offers":[{"title":"Paperback","offer_id":47615320588439,"sku":"9789966469298","price":1760.0,"currency_code":"INR","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0666\/3471\/1191\/files\/9789966469298.webp?v=1775099926","url":"https:\/\/atlanticbooks.com\/products\/salamu-kutoka-kuzimu-9789966469298","provider":"Atlantic Books","version":"1.0","type":"link"}